DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA KATIBU WA KAMATI KUU YA UONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Vietnam kutokana na mafanikio makubwa yaliopatikana nchini humo…
Read More