MAHOJIANO YA DK.SHEIN NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuridhishwa na mafanikio makubwa yaliopatikana Zanzibar chini ya uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Saba…
Read More