Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara Katiba na Sheria katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha  Julai-Disemba2019

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria kuendeleza uadilifu na usimamizi mzuri wa kazi zao hasa kwa vile Wizara…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihakiki Taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar

DK.SHEIN AMEHAKIKI TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amewatoa wasi wasi wananchi waliokuwa hawajapatiwa vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi na kuwataka kuwa na subira kwani…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA

UONGOZI wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ umetakiwa kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya matumizi ya Kamera pamoja na manufaa ya Mradi wa Mji Salama…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa robo mbili ya Julai-Disemba2019/2020

DK. SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO,MALIASILI,MIFUGO NA UVUVI.

RAIS wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kukutana moja kwa moja na wakulima ili kufanikisha…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena  Lawrence Tax

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza umuhimu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kushirikiana ili kuzipatia…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr

DK.SHEIN AMEFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa na mipango na mikakati ya kupambana na maafa hasa yale…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI,WANAWAKE NA WATOTO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa kuwepo kwa mazingira ya muhali katika jamii kumeweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kudhorotesha mienendo…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuwa wabunifu katika kuhakikisha mafanikio zaidi yanapatikana…

Read More