SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kulinda uhuru wa dini zote

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kulinda uhuru wa dini zote lakini haitavumilia vitendo vyovyote vya uvunjaji wa sheria vinavyofanywa na baadhi ya watu kwa jina la dini huku akisisitiza…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha

Mhe.Ali Juma Shahuna kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali ambapo kabda ya kiapo hicho alikuwa Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati katika ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa…

Read More

Dk.Shein amewaapisha Mawaziri pamoja na Mshauri wa Rais Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Mawaziri kufuatia mabadiliko aliyoyafanya kwa kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri hivi karibuni…

Read More

Dk. Shein azindua Mradi wa Elimu wa Karne ya 21 na kusema kuwa utakuwa chachu ya maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amezinduzi Mradi wa Elimu wa Karne ya 21, unaohusiana na elimu ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa skuli…

Read More

Mambo 10 ya Msingi Tunayopaswa Kuyazingatia

Mh. Dk. Ali Mohamed Shein , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi anasisitiza mambo 10 ya kuzingatiwa nayo ni :- 1. Zanzibar ya amani, utulivu na mshikamano inawezekana. Kwa takriban…

Read More

Toleo Maalum la Ikulu

*Zanzibar Imefanikiwa Kufufua Zao la Karafuu -Neema ya Bei Yawashukia Wakulima wa Zao Hilo -Wakulima Wamekubali kuuzia ZSTC, Waachana na Magendo

Read More

Miaka 48 imebainisha mafanikio na mipango ya SMZ ya awamu ya saba

“Tusipobadilika wenyewe Dunia itatubadilisha kwa lazima” Suala la kubadilika limekuwa ndiyo agenda muhimu ndani ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyo chini ya Muundo wa Umoja wa Kitaifa,inayoongozwa…

Read More