SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto duniani (UNICEF) limempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kwa kishindo na wananchi…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Rashid Said Rashid kuwa Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia mifumo ya teknolojia ya habari…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuwaambia wananchi kazi imeanza na wategemee…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza azma ya Zanzibar kukuza na kuimarisha uhusiano kati yake na Morocco hasa katika sekta ya utalii. Dk. Hussein…
Read More