Dk.Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Serikali kutunga Sera, ili kukiwezesha Chama cha Mabaharia Zanzibar (ZASU) kufanya kazi kwa taratibu na mfumo maalum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Serikali kutunga Sera, ili kukiwezesha Chama cha Mabaharia Zanzibar (ZASU) kufanya kazi kwa…
Read More