Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Manaibu na Makatibu Wakuu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:
Read More