Dk.Shein Amezindua Jengo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe kutatoa fursa kwa Mahakimu watakaoitumia Mahkama…

Read More

Dk.Shein amefanya Mazungumzo na Balozi wa Indonesia.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza azma ya Indonesia ya kukuza uhusiano na ushirikiano kati yake na Zanzibar katika sekta ya utalii, biashara…

Read More

Dk.Shein Ameshiriki Katika Chakula cha Mchana na Vikosi vya SMT na SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo ameungana pamoja na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi walioshiriki katika gwaride la kutimiza miaka 54 ya Mapinduzi…

Read More

Dk.Shein ameondoka nchini kwenda nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameondoka nchini leo kwenda nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja kufuatia muwaliko wa viongozi…

Read More

Dk.Shein ametembelea eneo lililotengwa kwa ajili ya Mradi wa kuhifadhi mafuta na gesi asilia.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya ziara ya kutembelea eneo lililotengwa kwa ajili ya Mradi wa kuhifadhi mafuta na gesi asilia pamoja na ujenzi…

Read More

Hutuba ya Kilele cha Sherehe ya Mapinduzi Zanzibar January12, 2018

HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA KILELE CHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, UWANJA WA AMAAN TAREHE:…

Read More

Dk.Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na mbili (12)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na mbili (12) ambao bado walikuwa wakiendelea kutumikia vyuo vya Mafunzo vya Unguja…

Read More