Kilele cha Maadhimisho ya wiki ya uwezeshaji kiuchumi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia…

Read More

Marekani imevutiwa na mafanikio yaliopatikana katika miradi inayoiendesha hapa Zanziba

Marekani imeeleza kuvutiwa kwake na mafanikio yaliopatikana katika miradi inayoiendesha hapa Zanzibar na kuahidi kuunga mkono miradi mengine ikiwemo miradi mipya ya Changamoto ya Milenia (MCC)…

Read More

Dk.Shein amefunga mkutano wa saba wa Baraza la Biashara Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefunga mkutano wa saba wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) na kusisitiza kuwa ipo haja ya kuungwa mkono kwa sekta…

Read More

Serikali inaendelea kujenga mazingira mazuri kuvifufua na kuvikuza viwanda vidogo vidogo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali inaendelea kujenga mazingira mazuri yatakayopelekea kuvifufua na kuvikuza viwanda hasa viwanda…

Read More

Dk.Shein ahuzuria taarabu rasmin Bwawani

Kikundi cha Taifa cha Taarab cha Zanzibar kilitia fora kwa kutoa burdani ya aina yake ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za sherehe za kutimiza miaka 49.; ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutokana na…

Read More

Matukio mbali mbali ya Sherehe ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 49

Matukio mbali mbali yaliyotokea uwanja wa Amani katika Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Read More

Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein,katika maadhimisho ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,tarehe 12 januari, 2013

Read More

Dk.Shein atoa msamaha kwa wafungwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa msamaha kwa wafungwa (Wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo) 16 ikiwa ni miongoni mwa sherehe za kutimiza miaka…

Read More