News and Events

Dk. Hussein amesema kupungua na kuepusha vifo vya akinamama na watoto wachanga vitokanavyo na uzazi hapa nchini, ni ni jukumu linalohitaji ushiriki wa kila mtu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein amesema kupungua na kuepusha vifo vya akinamama na watoto wachanga vitokanavyo na uzazi hapa nchini, ni ni jukumu linalohitaji…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza waumini wa Msikiti wa ‘Masjid Nabawi’ ulioko maeneo ya Mbuyu Mnene, Mkoa Mjini Magharibi kwa kuwa mfano mwema katika kushiriki masuala mbali mbali ya kijamii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza waumini wa Msikiti wa ‘Masjid Nabawi’ ulioko maeneo ya Mbuyu Mnene, Mkoa Mjini Magharibi kwa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inawahitaji Wawekezaji kutoka Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, kuja nchini kwa ajili ya kuwekeza katika sekta mbali mbali za Uchumi wa Buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inawahitaji Wawekezaji kutoka Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, kuja nchini kwa ajili ya kuwekeza katika…

Read More