Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Unguja Mheshimiwa Gallos Nyimbo mara baada ya kujumuika na Waumini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Unguja Mheshimiwa Gallos Nyimbo mara baada ya kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika futari ya pamoja aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.