Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanziba mara baada ya kuwasili katika Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mangapwani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanziba mara baada ya kuwasili katika Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mangapwani kushiriki Sala ya Ijumaa iliyoambatana na Dua Maalum ya kuiombea nchi, Viongozi na marehemu Nchini.