Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiisilamu pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar b
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiisilamu pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar baada ya kuwasili kwenye ibada ya Sala ya Eid al-Fitr iliyosaliwa leo, tarehe 21 Machi 2026, katika Msikiti wa Jamiu Zinjibar, Kiembe Samaki, Mkoa wa Mjini Magharibi.