Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki pamoja na viongozi wa kitaifa, wanafamilia na wananchi mbalimbali katika dua maalum ya kumuombea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki pamoja na viongozi wa kitaifa, wanafamilia na wananchi mbalimbali katika dua maalum ya kumuombea aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.