Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkr.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe.Giuseppe Sean Coppola baada ya kufika Ikulu Zanzibar na kusema Italia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkr.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe.Giuseppe Sean Coppola baada ya kufika Ikulu Zanzibar na kusema Italia itaendelea kuimarisha na kupanua wa kihistoria na Kidiplomasia kwa nchi hizi mbili katika sekta mbali mbali ikiwemo Utalii.