Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Slovakia nchini, Mhe. Ivan Lančarič, na kueleza utayari wa Zanzibar kushirikiana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Slovakia nchini, Mhe. Ivan Lančarič, na kueleza utayari wa Zanzibar kushirikiana na nchi hiyo katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii.