Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisaini kuashiria uzinduzi wa Mradi wa kisasa wa nyumba za za Makaazi ya wananchi Saateni Unguja.