Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameondoka Unguja leo tarehe 02 Aprili 2026 na kuwasili Pemba kushiriki Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameondoka Unguja leo tarehe 02 Aprili 2026 na kuwasili Pemba kushiriki Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba.