MAMA MWANAMWEMA SHEIN AMEFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI WANAWAKE ZANZIBAR.
MKE wa Rais wa Zanzibar, mama Mwanamwema Shein amesema shughuli za ujasiriamali zinahitaji taaluma ili ziweze kufanyika kwa ufanisi na kuleta tija pamoja na kuondokana na changamoto.
Read More