RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-
1. Bwana Abdalla Rashid Abdalla ameteuliwa kuwa MSHAURI WA RAIS (MAMBO YA SIASA).
2. Bwana Ali Mzee Ali ameteuliwa kuwa MSHAURI WA RAIS KATIKA MASUALA YA HISTORIA NA MAMBO YA KAELE na
3. Bwana Mwalim Ali Mwalim ameteuliwa kuwa MSHAURI WA WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA,MAJI NA NISHATI.
Uteuzi huo umeanza leo tarehe 30 Septemba 2019.