Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiomba Benki ya ‘AFREXIM Bank’ kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kupata mchanganuo wa masoko wa zao la Mwani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiomba Benki ya ‘AFREXIM Bank’ kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kupata mchanganuo…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka viongozi na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya Serikali kuendelea kuwa wabunifu katika kuandika habari na hasa zile zinazogusa maisha ya kila siku ya wananchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka viongozi na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya Serikali kuendelea kuwa wabunifu katika kuandika habari…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Benki ya CRDB itawapatia wajasiriamali mikopo bila ya riba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Benki ya CRDB itawapatia wajasiriamali mikopo bila ya riba…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuimarisha huduma zinazotolewa katika Hospitali Kuu ya Rufaa ya MnaziMmoja sambamba na kutekeleza malengo yaliyokuwepo ya kujenga hospitali ya Rufaa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuimarisha huduma zinazotolewa katika hospitali Kuu ya Rufaa ya MnaziMmoja sambamba na kutekeleza malengo yaliyokuwepo ya kujenga hospitali ya Rufaa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).

Read More