Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban,Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Jaji Mustapha Siyani (wa pili Kushoto) na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa