Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban (katikati) akiwa na Viongozi wengine.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban (katikati) akiwa na Viongozi wengine wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.