Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiomba Benki ya ‘AFREXIM Bank’ kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kupata mchanganuo wa masoko wa zao la Mwani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiomba Benki ya ‘AFREXIM Bank’ kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kupata mchanganuo…
Read More