Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ufunguzi wa Jengo la Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi na Rasilimali za Baharini, kutafanikisha azma ya Zanzibar kuwa kituo cha kuzalisha mazao ya baharini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ufunguzi wa Jengo la Taasisi ya Utafiti ya Uvuvi na Rasilimali za Baharini, kutafanikisha azma ya kuifanya…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi,amewataka Wakandarasi wa Mradi wa Maji wa Exim Bank kukamilika kwa wakati kama ulivyopangwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi,amewataka Wakandarasi wa Mradi wa Maji wa Exim Bank kuelewa kuwa mradi huo unapaswa kukamilika kwa wakati kama ulivyopangwa.

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuchangia shilingi Milioni hamsini (50,000,000), kusaidia ujenzi wa Msikiti wa Jumuiya ya Fissabilillah Tabligh Markaz

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuchangia shilingi Milioni hamsini (50,000,000), kusaidia ujenzi wa Msikiti wa Jumuiya ya Fissabilillah…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka Halmashauri za Wilaya na Mabaraza ya Miji kutumia vyema fedha wanazokusanya kwa miradi ya Maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka Halmashauri za Wilaya na Mabaraza ya Miji kutumia vyema fedha wanazokusanya kwa miradi ya Maendeleo, badala…

Read More