Dk.Hussein Ali Mwinyi ameunga mkono mashirikiano kati ya Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa baraka zake na kuunga mkono mashirikiano yanayoimarishwa kati ya Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema wakati umefika wa Wazanzibari kuungana pamoja katika vita dhidi ya usafirishaji na matumizi ya Dawa za kulevya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wakati umefika wa Wazanzibari kuungana pamoja katika vita dhidi ya usafirishaji na matumizi ya Dawa za kulevya…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Assa Ahmad Rashid pamoja na Abdalla Mzee Abdalla…

Read More

Jamii nchini imetakiwa kuitunza na kuielendeleza amani iliyopo na kuwaombea dua viongozi wa Taifa

JAMII nchini imetakiwa kuitunza na kuielendeleza amani iliyopo na kuwaombea dua viongozi wa Taifa hili ili waweze kuongoza na kuiletea nchi maendeleo endelevu yenye kheri na tija.Akitoa neno…

Read More