Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa Gati ya Mkokotoni, unalenga kuimarisha utoaji wa huduma,sambamba na kuufungua uchumi Mkoa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa Gati ya Mkokotoni, unalenga kuimarisha utoaji wa huduma ili ziweze kuwa bora na endelevu,…
Read More