Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema amedhamiria kuendeleza mageuzi makubwa ya huduma za jamii nchini kupitia sekta za Elimu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema amedhamiria kuendeleza mageuzi makubwa ya huduma za jamii nchini kupitia sekta za elimu, maji, afya na makazi…

Read More

Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mariam ameipongeza jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania kwa kuwa na viongozi imara wenye dira ya maemdeleo endelevu

MLEZI wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mariam ameipongeza jumuiya hiyo kwa kuwa na viongozi imara wenye dira ya maemdeleo endelevu na…

Read More

Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mariam ameipongeza Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

MLEZI wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mariam ameipongeza jumuiya hiyo kwa kuwa na viongozi imara wenye dira ya maemdeleo endelevu na…

Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameendeleza utaratibu wake wa kuwajuulia hali wazee na wananchi kwenye maeneo mbambali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameendeleza utaratibu wake wa kuwajuulia hali wazee na wananchi kwenye maeneo mbambali kwa kuwaombea dua…

Read More