Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mara baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa leo katika msikiti wa Ijuma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mara baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa leo katika msikiti wa Ijumaa Miembeni Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 13/10/2023.