Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.