MWENYEKITI wa Bodi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF),Mama Mariam Mwinyi ameiomba Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, washirikiane na wadau wengine kuendelea kulitangaza zao la mwani

MWENYEKITI wa Bodi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mariam Mwinyi ameiomba Wizara ya Uchumi wa Buluu na…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kufanya utafiti utakaoonesha njia bora zaidi za uvunaji wa maji ya mvua pamoja na maji kwenye mabwawa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kufanya utafiti utakaoonesha njia bora zaidi za uvunaji wa maji ya mvua pamoja na maji kwenye mabwawa, ili kutafuta vyanzo vyengine vya maji…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajitahidi kuboresha mazingira wezeshi kwa watu wenyeulemavu kwenye sekta zote za jamii zikiwemo Usafiri wa umma, Elimu na Afya

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajitahidi kuboresha mazingira wezeshi kwa watu wenyeulemavu kwenye sekta zote za jamii zikiwemo Usafiri wa umma, Elimu na Afya kwa kuzingatia na kurahisisha…

Read More