RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Program ya Kujitolea ya

Dk.Shein Amezungumza na Mratibu Mkuu wa Programu ya Kujitolea ya Umoja wa Mataifa (UNV).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Umoja wa Mataifa (UN) kupitia programu yake ya kujitolea ya Umoja huo (UNV) kwa kuendea kuiunga…

Read More

UFUNGAJI WA SEMINA YA KITAIFA KUHUSU MASUALA YA ARDHI NA RASILIMALI ZISIZOREJESHEKA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi Dk. Ali MohAmedShein,amewataka wadau wanaotunza na kusimamia rasilimali za ardhi kufanyakazi kwa uzalendo kwa kuzingatia misingi ya uaminifu,…

Read More

Dk.Shein: Watu hawaziheshimu na hawazifuati sheria za ardhi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa licha ya kuwepo Sheria tisa zinazohusiana na matumizi bora na endelevu ya ardhi hapa Zanzibar lakini…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar.

DK. SHEIN AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Read More

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibr kama ifuatavyo:-

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.

DK. SHEIN AMEWAAPISHA WATEULE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hapo jana kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Read More

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko kidogo katika muundo wa Serikali kwa kuigawa Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

DK. SHEIN AMEIPONGEZA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI.

WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepongezwa kwa kufanya kazi zake vyema katika kipindi cha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuimarisha uhusiano na…

Read More