Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wahindu wanaoishi Zanzibar kuendelea kufanya biashara zao pamoja na kuitangaza Zanzibar nje ya nchi ili kuvutia Wawekezaji.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wahindu wanaoishi Zanzibar kuendelea kufanya biashara zao pamoja na kuitangaza Zanzibar nje ya nchi ili…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu ili aifanye dunia kuwa na amani na kuondokana na changamoto za kiuchumi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu ili aifanye dunia kuwa na amani na kuondokana…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inathamini na kuunga mkono misaada mbali mbali inayotolewa na Jumuiya zisizo za Kiserikali katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inathamini na kuunga mkono misaada mbali mbali inayotolewa na Jumuiya zisizo za Kiserikali katika…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini mchango wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini mchango wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar katika kuendeleza…

Read More