DK. MWINYI AMEZUNGUMZA NA BALOZI WA UFALME WA MOROCCO KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza azma ya Zanzibar kukuza na kuimarisha uhusiano kati yake na Morocco hasa katika sekta ya utalii. Dk. Hussein…
Read More