Al hajj Dk. Hussain Ali Mwinyi amewanasihi waumini wa dini ya kiislamu, wazazi na walezi kwenye jamii kuhimiza maadili mema kwenye malezi ya vijana wao ili kulinusuru taifa na athari za mmong’onyoko
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussain Ali Mwinyi amewanasihi waumini wa dini ya kiislamu, wazazi na walezi kwenye jamii kuhimiza maadili mema kwenye malezi…
Read More