Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kushindana katika kufanya mambo ya kheri, ikiwemo ujenzi wa misikiti.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kushindana katika kufanya mambo ya kheri, ikiwemo ujenzi wa…
Read More