Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakubaliana na hatua zilizochukuliwa na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kufanya masahihisho muundo wa Utumishi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakubaliana na hatua zilizoanza kuchukuliwa na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)…
Read More