News and Events

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Uingereza kwa misaada mbali mbali inayoipatia Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Uingereza kwa misaada mbali mbali inayoipatia Zanzibar.Dk. Mwinyi ametoa shukrani hizo Ikulu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Tume ya Maadili ya viongozi wa Umma kujiridhisha ili kubaini sababu za msingi za Viongozi 52 kushindwa kurejesha Fomu za Tamko la Rasilimali na madeni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Tume ya Maadili ya viongozi wa Umma kujiridhisha ili kubaini sababu za msingi za Viongozi 52 kushindwa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ina azma ya kukiimarisha kikosi cha Zimamoto ili kukabiliana na athri kubwa zinazotokana na matukio ya moto katika Hoteli za Kitalii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ina azma ya kukiimarisha kikosi cha Zimamoto ili kukabiliana na athri kubwa zinazotokana na matukio…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametekeleza ahadi aliyowaahidi wananchi walioathirika na Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi hatimae ile ahadi yake aliyowaahidi wananchi walioathirika na Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd iliyokuwa ikifanya…

Read More