News and Events

Alhaj Dk. Hussein Mwinyi amewataka atendaji wote watakaokabidhiwa dhamana ya kusimamia fedha hizo kuwa wakweli na waaminifu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Mwinyi amesema Serikali inatumia nguvu zote kuongeza fedha kwenye sekta za kiuchumi, hivyo amewataka atendaji wote watakaokabidhiwa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa matukio mbali mbali yakiwemo kushuka kwa kiwango cha hali ya usalama husababisha kuporomoka kwa utalii.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa matukio mbali mbali yakiwemo kushuka kwa kiwango cha hali ya usalama husababisha kuporomoka kwa utalii.Rais…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na watoto pamoja na Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya kuzitafutia ufumbuzi changamoto mbali mbali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na watoto pamoja na Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya…

Read More