Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Darban Afrika kwa ajili ya kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Maonyesho ya Biashara baina ya nchi za Afrika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Durban, nchini Afrika Kusini leo (Novemba 14,2021) kwa ajili ya kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa…
Read More