Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mhe. Naddir Abdullatif Al Ward kuwa wajumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar.