Rais Dkt. Mwinyi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi akimkabithi Kitabu Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk katika uzinduzi wa Tamasha la Uwekezaji Zanzibar 2025
Rais Dkt. Mwinyi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi akimkabithi Kitabu Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk katika uzinduzi wa Tamasha la Uwekezaji Zanzibar 2025 linaloendelea katika Maeneo Huru ya Uwekezaji Maziwang’ombe Mkoani hapo.