RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma ikisomwa na Bi.Maryam Mliwa (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma ikisomwa na Bi.Maryam Mliwa (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mama Zuhura Kassim na (kulia kwa Rais) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Sharifa Omar Khalfan. Wakiitikia dua