RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima kutoka Kikosi cha Jeshi la Polisi cha FFU gwaride maalumu lilioandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Fitry katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 3-5-2022.