RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Msahafu na Sheikh Mohamed Omar Alsheikh Juda, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Ji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Msahafu na Sheikh Mohamed Omar Alsheikh Juda, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025