Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi pamoja na Wachezaji wa Klabu ya Simba katika Hoteli ya Madinat Al Bahr.Dk.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi pamoja na Wachezaji wa Klabu ya Simba katika Hoteli ya Madinat Al Bahr.Dk. Mwinyi ameahidi kuizawadia Klabu ya Simba kiasi cha Dola Laki Moja za Kimarekani endapo itafanikiwa kutwaa Ubingwa wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.