RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya kitabu,kutoka kwa Jaji Mkuu wa Kenya Mhe.Martha Koome, baada ya kumaliza mazungumzo yake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya kitabu,kutoka kwa Jaji Mkuu wa Kenya Mhe.Martha Koome, baada ya kumaliza mazungumzo yake ya wageni wake Jopo la Majaji kutoka Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025