RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Mlango wa Zanzibar na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Mlango wa Zanzibar na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 30-4-2025