RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe. Yahya Bin Ahmad Okeish, baada ya kumaliza mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe. Yahya Bin Ahmad Okeish, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-4-2024