Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiendesha Bajaji kuashiria kuwaung
Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiendesha Bajaji kuashiria kuwaunga mkono wajasiriamali wanaoendesha shughuli zao kupitia ajira hiyo baada ya kuwatembelea katika Shehia ya Mndo, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.